Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
wadau naomba msaada wa kujua maneno haya yafuatayo kwa kiingereza yanaitwaje: 1: mishikaki 2: mvi za kwenye nywele 3: kidevu 4: uchochezi
0 Reactions
10 Replies
10K Views
kuna dogo mmoja alikuwa anafuatilisha tangazo la EATV!!! "together tunawakilisha" nikamuuliza together maana yake nini akasema "tunawakilisha" hayyyya tena na we tupia lako ambalo ulilielewa...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Wakuu. Natambua heshima ya hali ya juu ya jukwaa hili ikiwa ni pamoja na kuwa daraja la kupitisha habari na taarifa kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine. Hata hivyo mara kadhaa hapa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nitafsrieni maneno yafuatayo "Baba mimi ni mtoto wako wa ngapi?" In english plz!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu, naomba msaada wa kuelewa hizi post kwa kiingereza, 1.Afisa Elimu vifaa na takwimu 2.Afisa Elimu Taaluma. 3.Afisa Elimu vielelezo.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
  • Redirect
Kumekuwepo maswali kadha wa kadha toka kwa wadau wakitaka kujua maana ya UTAKATISHAJI FEDHA (Money laundering), wengine huita "PESA/FEDHA CHAFU" na tumeona ni vema ikaeleweka kwa lugha rahisi kwa...
0 Reactions
Replies
Views
hili neno 'uvunjifu' ni sahihi wakuu wangu?! Nimekua nikilisikia mno kwenye vyombo vya habari! Nijuzeni tafadhali!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
I say, hello to you all! Lets translate our Swahili proverbs in English. Lemme start: 1. Where it slopes down, is where it slopes up, 2. Today is today. He who says tomorrow is a liar, 3. When...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari, nimetunga riwaya ambayo nategemea nitapata maoni yenu kwani iko mbioni kuchapishwa. Na hapa nimeona niwawekeeni kitabu hicho na nitarudi kupata maoni yenu baada ya kukisoma. Nategemea...
4 Reactions
24 Replies
7K Views
Mke asiye na mume, akamchumbie nani? Isingekuwa vigeni, mwanamke kuchumbia Ningepita mitaani, mume kujitafutia, Nisimuudhi Manani, ndio nimejizuia. Mke asiye na mume akamchumbie nani? Ndege...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau naomba tusaidiane, eti nasoma degree ya kwanza, St.Augustine University of Tz( branch ya tabora) sheria ni lazima Utafiti uwe kwa lugha ya kiingereza hata kama unasoma kiswahili. Je...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
I could be.... Someone you can run to When you are a loner Just like a flower Spreads its gay arms Embracing the bee To suck its nectar.. I could be.. Someone you can count on When everyone else...
9 Reactions
48 Replies
3K Views
Nisaidieni maana ya hiyo sentensi hapo juu tafadhali.
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Jua lililokuwa limeutawala mchana wa siku hiyo lilimezwa na mawingu, ambayo yalitanda na kuliziba anga kama blanketi kubwa lililotandikwa mbiguni. kiupepo kilianza kuvuma na kubeba takataka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wana JF. Nimefurahishwa na mazungumzo yaliyoongozwa na Mtangazaji aliyewauwa CCM wakati wa Mchakato majimboni maarufu kama SHABAN KISSU (KIWEMBE) katika kipindi cha LULU ZA KISWAHILI...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafuta mdhanini atakayenidhami kwenda nchini Afrika ya Kusini kwenda kufundisha KISWAHILI. Baadhi ya taasisi zisizo za kiserikali, zimeanzisha mafunzo ya lugha ya kiswahili huku zikikosa walimu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wataalam wa lugha hasa wale wanaoketi mbele ya tbc juzi waliniumiza kichwa kwa kusema kuwa neno ''KUFUNDISHA'' lina maana kutoa elimu ya masuala yaufundi(mchundo) lakini yule anayesimama mbele ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomba kusaidiwa maana ya Unazi, utaskia mtu anasema "usilete unazi wewe" au "acha unazi", inakuwa na maana gani? Gaijin, kiraia, SMU and 16 others like this.
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Jaman kiswahili kina kuchapia kwake mfano mm niliwahi kusema mrisho ngisa@mrisho ngasa,usipo ziba ukuta utajenga ufa@usipo ziba ufa utajenga ukuta na mengne mengi.Najua kila mtu anakosea je...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani mtanisamehe kama hili lilishaulizwa lakini itakuwa pia kwa faida ya wale ambao hawakuona hapo kabla, haya maneno naona yamekuwa yakitumiwa kwa maana nyingi tofauti, je kuna mwenye kiswahili...
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Back
Top Bottom