Salamu kwenu na kadhalika... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salamu kwenu na kadhalika...

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by WANGU MTENZI, Jul 6, 2012.

 1. WANGU MTENZI

  WANGU MTENZI Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya wana Jamii F.Mwaambaje?Mie mgeni hapa ila nimepungwa sana na wana Jamii F.

  MASWALI YANGU HAYA MNISAIDIE
  1.University kwa Kiswahili ni nini?
  2.sealing ile ya nyumba yatwaje Kiswahili?
   
 2. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  .
  WANGU MTENZI .

  University
  kwa kiswahili inaitwa chuo kikuu

  Hiyo ya sealing board ngoja watakuja wahuzi wengine watakufahamisha maana yake
   
 3. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Inaitwa DARI.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ni dari au dali??
   
 5. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Katavi huyu KARIA yupo sahihi inaitwa Dari

  dari[SUP]*[/SUP] nm ma- [li-/ya-] = ceiling, attic, loft.
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Asante Dotworld
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...