Ndizi Utumbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndizi Utumbo

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Kifuniko, Jul 19, 2012.

 1. Kifuniko

  Kifuniko Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi ukitaka kuagiza ndizi utumbo kwa kingereza utasemaje?
   
 2. li sheng

  li sheng Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 11, 2008
  Messages: 47
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hili ni jukwaa la kiswahili! haya isiwe taabu

  "fresh banana with roasted.... Interstine"

  utajaza utumbo gani, wa ngombe /kuku /mbuzi etc...
   
 3. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Waingereza hawali ndizi utumbo so wewe hata usiwe na wasi wasi maana hicho ni chakula cha waswahili kama mimi na wewe so hakuna hata siku moja utatakiwa ukitaje kwa kiingereza
   
 4. B

  Bi nyakomba JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 387
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  banana with inside hahahah umenikumbusha mbali
   
 5. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  inaitwa hivyo hivyo
   
 6. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,812
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Wazungu wanukula utumbo pia. Mfano Tripe served with mashed potato. Ndizi utumbo sawa tripe banana.
   
 7. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Asante sana mwaya si unajua tena mie wa Katavi kiingereza is not reachable
   
Loading...