Nimesikiliza redioni na kusoma katika magazeti utambulisho wa magari (identification ante) ya viongozi wetu ambazo zinatumia
herufi, waandishi wakiandika kwamba kuwa hiyo ni namba ambapo hakuna...
TUNDA Sheria na mila zetu, utokapo utotoni watambulika na watu, waingizwa ukubwani, waitwa mzima mtu, kisa ndevu kidevuni, kila nikitupa jiwe tunda hili nalikosa. Kundi kubwa kijijini...
Naandika kutoa shukrani zangu kwa uongozi wa Jamii Forum kwa kulikubali ombi langu la kuwa mwanacham. Nitatumia fursa hii kutoa maoni, kujadili na hata kushiriki katika kutoa mafunzo bora ya lugha...
Ndugu mwana Jamii Forum,
Nakuomba uweze kushiriki katika tafiti hizi mbili kwa kujaza dodoso zinazopatikana katika links zifuatazo:
DODOSO NAMBA 1: ATHARI ZISIZO ZA MOJA KWA MOJA ZA KIINGEREZA...
kuna dogo mmoja alikuwa anafuatilisha tangazo la EATV!!! "together tunawakilisha" nikamuuliza together maana yake nini akasema "tunawakilisha" hayyyya tena na we tupia lako ambalo ulilielewa...
Wakuu.
Natambua heshima ya hali ya juu ya jukwaa hili ikiwa ni pamoja na kuwa daraja la kupitisha habari na taarifa kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine.
Hata hivyo mara kadhaa hapa...
I say, hello to you all!
Lets translate our Swahili proverbs in English.
Lemme start:
1. Where it slopes down, is where it slopes up,
2. Today is today. He who says tomorrow is a liar,
3. When...
Habari, nimetunga riwaya ambayo nategemea nitapata maoni yenu kwani iko mbioni kuchapishwa. Na hapa nimeona niwawekeeni kitabu hicho na nitarudi kupata maoni yenu baada ya kukisoma. Nategemea...
Wadau naomba tusaidiane, eti nasoma degree ya kwanza, St.Augustine University of Tz( branch ya tabora) sheria ni lazima Utafiti uwe kwa lugha ya kiingereza hata kama unasoma kiswahili. Je...
I could be....
Someone you can run to
When you are a loner
Just like a flower
Spreads its gay arms
Embracing the bee
To suck its nectar..
I could be..
Someone you can count on
When everyone else...
Jua lililokuwa limeutawala mchana wa siku hiyo lilimezwa na mawingu, ambayo yalitanda na kuliziba anga kama blanketi kubwa lililotandikwa mbiguni. kiupepo kilianza kuvuma na kubeba takataka...
Ndugu wana JF.
Nimefurahishwa na mazungumzo yaliyoongozwa na Mtangazaji aliyewauwa CCM wakati wa Mchakato majimboni maarufu kama SHABAN KISSU (KIWEMBE) katika kipindi cha LULU ZA KISWAHILI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.