Msaada wa maneno haya,rajisi,muamala ,mrabaha na gombo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa maneno haya,rajisi,muamala ,mrabaha na gombo

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Advocate J, Jul 23, 2012.

 1. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  wana jf ninaomba mnipe tafsiri ya maneno ,rajisi,muamala,gombo,mrabaha ,msaada tafadhali,by.mpigamsulioriginal
   
 2. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  tafuta dictionary mkuu hasa ya kiswahil kwani naona uko vizuri
   
 3. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  harakat,ndg yangu mm npo village cna dictionary wala nin,
   
 4. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,630
  Likes Received: 3,014
  Trophy Points: 280
  Nitarudi
   
 5. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  nasubirkwa hamu majibu maana wataalam wa kiswahili wana mambo sana hasa walipo nambia laptop ni dadavuzi mpakato sijui hapa watakuja na lipi
   
 6. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  mpigamsuli

  MRAHABA:

  1. mrabaha
  = 1. royalty.

  2. mrabaha = 2. proceeds, returns, profit.


  GOMBO:

  1. gombo
  = 1. sheet, leaf of a book.

  2. gombo =
  2. (hutumika sana Mwambao wa Afrika ya Mashariki) offering ceremony.

  3. gombo
  .a = 3. redeem: Ali aligomboa redio yake he redeemed his radio.

  Maneno yanayoendana na hiyo namba 3 ni gombolea, (tdew) gombolewa; (tdk)gomboka; (tdn) gomboana; (tds) gombosha.

  MUAMALA

  1. muamala = 1. one's good relations with others.

  2. muamala = 2. business relations.


  N.B:

  Kuna neno muamala ambalo pia linatumiwa na Kampuni za simu ... kama M-Pesa au Tigo ... huwa wanasema Muamala umekubaliwa au hautoshi ... nafikiri unafahamu.

  RAJISI:

  Rajisi = Sajili

  Kisawe (neno linalofanana katika matumizi) cha kusajili ni kurajisi. Neno rajisi halitumiki sana lakini neno sanifu na linakubalika kutumika.

  Tanapata mrajisi/msajili katika wizara, mashirika na kampuni.

  Nafikiri mkuu mpigamsuli pia na Gwankaja Gwakilingo umenipata hapo!
   
 7. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Muamala = Transaction
   
Loading...