Tbc nini maana ya kustaafu na kujiuzuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tbc nini maana ya kustaafu na kujiuzuru

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Mutaishureaije, Jul 18, 2012.

 1. M

  Mutaishureaije New Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watangazaji wa tbc naomba msaada wenu kati ya sumaye na lowasa nani kajiuzuru na nani kastaafu au ndiyo kulinda heshima[​IMG]
   
 2. li sheng

  li sheng Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 11, 2008
  Messages: 47
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kustaafu= ni kuacha kazi kwa mujibu wa sheria, ama baada ya mkataba wako kwisha au kwa kuomba kutokana na sababu mbali mbali kama za kiafya etc na unapata haki zako. yani huna kazi tena labda kwa mkataba mwengine.

  Kujiuzulu= ni kuacha(Dhamana) kwa hiari yako binafs, lakini mara nyingi ni kutokana na kuwajibikam pengine sio kwa kosa lako bali mfn, watendaji wako au kwa sababu za kisheria baadhi ya Nchi kama Japan ukishinda ulicho ahidi kutimiza unajiuzulu, na mara nyingi Mtu hujiuzulu nafasi ya kuchaguliwa, hiyo ni kusema unaweza kujiuzulu uongozi ukaendelea na kazi yako, mafano Kapteni wa timu ya mpira au Dartari Mkuu anaweza kujiuzulu ukapteni akaendelea kuwa mchezaji kama kawaida au daktari akaendelea kutibu.
   
Loading...