1>upo mwingi usafiri,ila huu ni hatari.
Hatari si kama gari,lipasukapo tairi.
Nawaza naufikiri,sitopanda kwa hiyari.
Namwaza huyu farasi,siku nikija mpanda.
2>na ulimi ulikiri,kiri imani...
Hii ni sehemu ya shairi lililoandikwa na Idd Ninga ,shairi linaitwa UTABIRI KUTIMIA
1>picha imeshadhihiri,mwisho wao umefika.
Utatimu utabiri,ule niliouweka.
Yote niliobashiri,yaonekana...
1>rangi yako ya waridi,nzuri kama samawati.
Nikahisi ni zawadi,ilojawa na swifati.
Kumbe siyo maridadi,wewe kama afiriti.
Ua hili ua gani,kila mtu alichuma.
2>vijana hadi watoto,wanapenda...
Ni kweli kwamba sintaksia finyizi imekubalika na wataalam wengi kama nadharia ya ya lugha yenye uwekevu zaidi na bado inaendeleza malengo ya sarufi zalishi. Malengo haya ni kuandaa sarufi bia ya...
Napata tabu sana ninapoongea na wakenya, haswa wale ninaojua wana elimu hadi ya Chuo kikuu au kidato cha nne. Lakini hawajui lugha kabisaaa,
Unasikia SASA? Anamaanisha salaam, au Au unamwambia...
1.
Masaa kumi na mbili, toka jua la utosi,
Tena upate kandili, sidhani utusitusi,
Kiza chake si kalili, nyakati za wasiwasi,
Chukua udhu uswali, kwa mola wako Qudusi.
Usiku wa manane, ni...
Nilikuwa na mwingereza akanitaka nimtafisirie hilo neno, nilipata taabu sana:
- Here Jobs Only...... hakuelewa
- Here Works Only ....... hili nalo halikuwa na maana iliyokusudiwa
Tafsiri sahihi...
Naomba kwa mwenye kujua, anisaidie. Maziwa fresh kwa neno moja la kiswahili huitwaje? Mfano, maziwa ya mgando ni mtindi. Je yale ambayo hayajagandishwa je?
Wanajamii Salaam!!
Ninatafuta kitabu kinachoelezea sifa mbalimbali za wanyama, ndege na reptilia pamoja na picha za viumbe hao.
Mfano. Sisi wakati tunakua mzee wetu alikuwa na kamusi ya...
IKULU PANA MNYAMA, SURA KAMA MWANANGU.
Nasema nawe kibabu, rafiki yake kileje,
Huwezi wajipa tabu, sijui hata ukoje?
Kwa chai takuadhibu, siulize nawezaje,
Jamii yako ya boflo, chai ni chako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.