Elimu, Elimu, Elimu - Lowassa hakukosea

Elimu, Elimu, Elimu - Lowassa hakukosea

Cool Runnings

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
277
Reaction score
199
Kweli muheshimiwa Lowassa hakukosea, hebu oneni hili tangazo la Fast Jet hapa chini.

v63t5c.jpg
 
ndiyo hajakosea, wenye akili na busara tulishaona ni kweli inawezekana kabisa elimu bure hadi chuo kikuu na fedha zipo kutoka madini, gas, wanyama wetu, milima, zaidi kupunguza mashangingi ya wakubwa na kubana ukubwa wa baraza la mawaziri
 
Adj.1.comfy - providing or experiencing physical well-being or relief (`comfy' is informal); "comfortable clothes"; "comfortable suburbanhouses"; "made himself comfortable in an armchair"; "the antihistamine made her feel more comfortable"; "are you comfortable?";"feeling comfy now?"comfortable
colloquialism - a colloquial expression; characteristic of spoken or written communication that seeks to imitate informal speech

Comfy=comfortable. Mkuu kiingereza ni lugha ngumu. Unaweza ukajua neno moja ukadhani wewe tu upo sahihi.Tangazo halina kosa.
 
Ila kuna watu wazima kabisa tena wengine wana elimu lakini wanasema elimu bure haiwezekani!!inasikitisha sana.
 
They are correct with their kizungu as the comfy chair looks like the aeroplane seat, labda kama ulitaka aseme seat badala ya chair. Ni lugha ya kimatangazo na kwa wenye lugha yao nafikiri hawana tatizo na hilo neno na by the way haya jamaa ni wazungu na si wabongo.
 
Comfy chairs = comfortable seats; marketing language
Synonym ya chairs ni seats vile vile hivyo sioni shida kwa fastjet.

Ila hiyo haiondoi umuhimu wa elimu bure (kwa gharama za serikali).. Elimu bure inawezekana kabisa!!
Nyerere alifanya hivyo na wengi walienda kupata elimu zao nje ya nchi..
 
Jambo usilo lijua ni kama usiku wa giza
tuulize ma "prescriptivist" tukusaidie ...hilo neno
lina maana zaidi ya moja....comfy simply = confortable.

Kweli muheshimiwa Lowassa hakukosea, hebu oneni hili tangazo la Fast Jet hapa chini.

v63t5c.jpg
 
Jambo usilo lijua ni kama usiku wa giza
tuulize ma "prescriptivist" tukusaidie ...hilo neno
lina maana zaidi ya moja....comfy simply = confortable.

Wewe ndiye unatakiwa kujuzwa limbukeni wewe unaparamia mambo usiyoyajua toka lini kwenye ndege kuna "chairs"??????? Unaona hata wewe unayejiita ????!!!!!'''//... elimu, elimu, elimu inakuhusu!!!
 
Adj.1.comfy - providing or experiencing physical well-being or relief (`comfy' is informal); "comfortable clothes"; "comfortable suburbanhouses"; "made himself comfortable in an armchair"; "the antihistamine made her feel more comfortable"; "are you comfortable?";"feeling comfy now?"comfortable
colloquialism - a colloquial expression; characteristic of spoken or written communication that seeks to imitate informal speech

Duh!!! Vijana mna shida nyie, kinachokosolewa hapo "chairs" imewekwa hapo kama tafsiri ya moja kwa moja kutoka kiswahili ya "seats"!!!! Upuuzi ulioje huu kwa tangazo la biashara??????
 
They are correct with their kizungu as the comfy chair looks like the aeroplane seat, labda kama ulitaka aseme seat badala ya chair. Ni lugha ya kimatangazo na kwa wenye lugha yao nafikiri hawana tatizo na hilo neno na by the way haya jamaa ni wazungu na si wabongo.

Hakuna cha lugha ya matangazo wala nini, hiyo ni direct translation inayoleta shida hapo!!!!!! Sawa na kusema "a bigger kid" eti ni sawa na "older kid"
 
ndiyo hajakosea, wenye akili na busara tulishaona ni kweli inawezekana kabisa elimu bure hadi chuo kikuu na fedha zipo kutoka madini, gas, wanyama wetu, milima, zaidi kupunguza mashangingi ya wakubwa na kubana ukubwa wa baraza la mawaziri

Duh!!!!! unajua nimeshagundua ukisoma hiyo huku unawaza kwa kiswahili ni ngumu sana kuona kosa. Lakini kama wewe ni fluent in English unawaza na kuota kwa lugha hiyo it's just a shocker!
 
Kwa hiyo ukikosa kiti ndani ya ndege, unaambiwa say kwa kiingereza, " all chairs are sold out?????? Au "all our chairs are full occupied". really? Jifunzeni si tu kuongea kiingereza, bali pia kuwaza kwa kiingereza unapoongea kiingereza.
 
Duh!!! Vijana mna shida nyie, kinachokosolewa hapo "chairs" imewekwa hapo kama tafsiri ya moja kwa moja kutoka kiswahili ya "seats"!!!! Upuuzi ulioje huu kwa tangazo la biashara??????

Tangazo halina haja ya kupamba "seat" Seat can be comfy or not. What they wanted to portray; their air crafts to be equipped with comfy chairs. Na ndo maan nikakupa definition ya comfy. A chair made with relaxation feature.

Hii picha inakubalika kuitwa comfy chair just FYI. comfy chair.jpg
 
Tangazo halina haja ya kupamba "seat" Seat can be comfy or not. What they wanted to portray; their air crafts to be equipped with comfy chairs. Na ndo maan nikakupa definition ya comfy. A chair made with relaxation feature.

Hii picha inakubalika kuitwa comfy chair just FYI.View attachment 296726

C'moon dude ya still on this one??? Well kama unasoma kiingereza huku unawaza kiswahili basi seats na chairs ni sawa tu!!!!! You won!!!
 
Kumbe kuna mambo ya wa kwanza na wa mwisho!!!

Haya mkuu you are very right, and have won. I am out.
 
Back
Top Bottom