Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
1. Makabwela na wakwasi, tuchunge tulipotoka, Mimi naona utwesi, nachelea kuanguka, Hashituki kwa unyasi, aso gongwa na nyoka, Yu wapi Rais Kikwete, zi wapi ahadi zake. 2. Siku zimeenda...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
HALIKIDHI MAHITAJI,NENO LIKIOTA MENO. 1. Neno limeota meno, limezua tafarani, Siyaoni mapatano, sote vipembe kichwani, Mwana ashikwe mkono, asipotee njiani, Halikidhi mahitaji, neno likiota...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Samahani, lakini naomba niulize; hivi vitumbua kwa Kiingereza vinaitwaje? Maana daah, kuna dogo hapa wa English Medium kaniuliza nimeshindwa kumjibu.
1 Reactions
40 Replies
23K Views
ivi wadau ajira zake zina mashiko hapa tanzania. nataka kuwa mkaliman nimeapply course moja ya language chuo flan hapa bongo. mnanishauri vip ndugu zanguni. nisome au nipiotezee kama ntaipata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni sehemu ya mfululizo wa mashairi ya IDD NINGA, fuatilia shairi hili na toa maoni yako. JINA LA SHAIRI: Nampenda Kuku Wangu. MTUNZI:Idd Ninga wa Tengeru Arusha. Simu: 0755519736 Kuku ndie...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
1>ya kale siyo ya sasa,dunia ya tetereka. Inayotisha mikasa,ulimwengu weweseka. Imeshamezwa na kasa,mdogo kuliko paka. Hasira za mbingu kali,zaangamiza dunia. 2>yaangamia dunia,wenyewe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hapa azaliwa mama, na bibi alomzaa, Mnaiona milima, kuipanda si mzaa, Hata waliponituma, kupanda nilikataa, Mizimu sasa ilale, tambiko limeshapita. Nimekuja himahima, na moyo ukinipaa, Metoka Dar...
2 Reactions
0 Replies
963 Views
FANYA TAMBIKO LITIMU. Mstahiki Zack​: Siandiki kuwatisha,ila navuta Amani. siwatilii presha,ila yabidi wendani. leo mja kanichosha,aiba mwangu nyumbani. Leo Tambiko Latimu,mahasidi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sione nimenyamaza, mwenzio sina furaha, Mambo ulo yatangaza, mie yanipa karaha, Allah aniongoza, ulidhani nitahaha, Waja ndio walewale, hakika hayana budi. Sione nimetulia, moyoni...
3 Reactions
1 Replies
904 Views
Neno limekuwa neno, kiziwi kalisikia, Neno liwe la mfano, tupate kujifunzia, Neno lisiwe ndoano, kooni likanasia, Kuna neno na maneno, kuna neno lenye meno. Kuna maneno machungu, kiasi bubu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Maana ya hilo neno kwa kiswahili tafadhali...nimetafuta kwaenye english to English dictionary nikashindwa kupata maana ya moja kwa moja kwa lugha ya kiswahili
0 Reactions
3 Replies
5K Views
NAOMBA KUJUA maana ya Nsungumazi kwa kiswahili,na Baraka kwa Kinyamwezi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1. Jamani naomba tofauti ya neno dondoka na anguka 2. Pia naomba tofauti ya neno lala na sinzia
0 Reactions
2 Replies
3K Views
CUTE SAYINGS AND PROVERBS 1. “To a hammer, everything looks like a nail.” Similarly, every barber thinks you need a haircut, every car dealer thinks you need a car, and every PR agent...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Niko kwenye maandalizi ya project ya kwenda kufundisha wakulima mkoani Lindi juu ya kuongeza thamani ya mazao yao. Nimeanza kuandaa teaching guide toka kwenye kitabu kimoja cha kiingereza cha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi ni mwalimu wa lugha ya kifaransa na pia translator / interpretor wa frech language to english and swahili natafutakazi at ya part time please assist dear friends jp
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nimetatizwa na swali jepesi nadhani nimesahau ama sikuwahi kufahamu Hivi hizi rangi kama Pink; Blue. Silver, Peach, Gray, na nyinginezo zinaitwaje kwa kiswahili? Niondoleeni aibu...
1 Reactions
51 Replies
119K Views
Kwanza samahani wana jamvi kwa kuweka huu uzi kwenye jukwaa la siasa badala ya lugha.Najua huku ndo wengi wetu tunapenda kutembelea mara kwa mara kwani siasa ndo zinaendesha nchi. Nimekuwa...
4 Reactions
71 Replies
19K Views
1:mtu yeyote atakayemwona mtoto HUYO atoe taarifa polisi 2:mtu yeyote atakaemuona mtoto HUYU atoe taarifa polisi nawasilisha
0 Reactions
16 Replies
4K Views
1. Kwa jina naitwa Mishi, binti mwenye heshima, Mwenzenu ni mtumishi, nipo ofisi ya umma, Kama hiyo haitoshi, mwanamke wa kujituma, Penzi halina kanuni, chunga usije kosea. 2. Nina gari...
2 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom