Hii muhimu
binafsi nimeanza kwanza kuangalia status yako nikajua kuwa bado kumbe ni " member " kisha nijajibiidisha kuangalia content ya uzi wako na ulikuwa unataka labda kutuambia nini great thinkers humu jf matokeo yake najikuta najilaumu tu mwenyewe kwanini nimeusoma uzi wako kwani nahisi kuna kama 1% yangu ya uwezo wangu wa akili umepungua kwa kusoma huu " ufyoko " wako. ngoja niwapishe wengine watakaoulewa kwani katika kila msafara wa mamba na kenge pia wamo!
Basi hapo unajiona we ndo kila kitu yani itaku cost sana usipobadilika pita hivi