Wakenya wamezidi na Sheng' kiswahili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakenya wamezidi na Sheng' kiswahili

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Tinashe, May 4, 2009.

 1. T

  Tinashe Member

  #1
  May 4, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napata tabu sana ninapoongea na wakenya, haswa wale ninaojua wana elimu hadi ya Chuo kikuu au kidato cha nne. Lakini hawajui lugha kabisaaa,

  Unasikia SASA? Anamaanisha salaam, au Au unamwambia salimia wote nyumbani anasema WATASALIMIKA...Je hiki ni kiswahili sahihi?
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Wanajuvunia zaidi 'English' lugha ya mzungu!
   
 3. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Unajua Mtu ukiwa n a akili ndogo unafikiri Luga ya mzungu ndio bora, hawa wakenya wana matatizo sana ya kujiona wao bora kwa sababu wanaongea luga ya mzungu.

  Badala ya kujivunia Lugha yenu ya waafrika unajivunia lugha ya watu wa mbali kabisa ambao wala hawakuthamini. Hapa Tanzania wamejazana sana, na wanafanya kazi nyingi sana ambazo watanzania wanaziweza sana tatizo ni kwakuwa wao wanazungumza kiingereza vizuri zaidi ya watanzania wengi.

  Kuna kampuni nyingi zinawafanyakazi wakigeni kuanzia Meneja ha messenger ni wakenya, wakati watanzania wengi wanasota mitaani bila kazi. Alafu hao wakenya wanaleta kejeli kupita kliasi kwa watanzania nadhani umefika wakati sasa serikali pamoja na wapenda haki wote kutolifumbia macho syuala hili.

  Sidhani kama unaweza kwenda kenya ukakuta kampuni moja imeajiri watanzania watupu. Kitu kingine nadhani tuwe tunafanya usaili kwa watanzania kutokana na lugha anayoijua kwa ufasaha badala ya kutulazimisha tuongee kiingereza.
   
 4. T

  Tinashe Member

  #4
  May 8, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KYAKYA,

  Nashukuru kwa mchango wako,

  Je tuwasaidieje hawa majirani zetu?
   
 5. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2009
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  SHENG is a street language. Please take it as such, a street language. OMG.
  No one has claimed sheng to be perfect kiswahili.
  What does MAMBO mean? It's the same as that SASA.

  I do not see anyone here write about UGANDA and the english they speak...
  they have refused to accept and learn Swahili and no one is saying anything. Every city in this world has its own version of their lingua franca-AKA street language.

  In Nigeria they have pidgin english, creole in the West Indies, the jamaican patois... Go to Rome and do as the Romans do.
  If you are in Kenyaa/ Nairobi, taka usitake they will address you in sheng on the streets get used to it.
  It's getting alittle bit tired "Kenya this Kenya that"... "Oh Kenya oh mara Nairobi oh" Its enough already!!...
  Let us have reasonable arguments and debates that educate and not just propagate hate and unneccesary bad blood...
   
  Last edited: May 8, 2009
 6. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Tatizo letu watanzania tunadhani kwamba sisi ni owners wa Kiswahili. This is wrong. Congo, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Mozambiki wana kiswahili kizuri tu. Lazima tukubali aina mbali mbali za Kiswahili. Na haitatokea kamwe wakaongea kama sisi. Hata Mnyantuzu hawezi kamwe kujibadilisha aongee kama Mpemba pamoja na kwamba wote ni watz
   
 7. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2009
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Cynic,
  You are 100% correct!!! Just like in english, kuna British english, American Australian, Newzealand version of it...and yet all are termed as English. You summed it up.
  Even in that England itself, the english spoken varies form region to region. the same is for Kiswahili.
  As much as the Kiswahili in the Kenyan Coast is sanifu it is slightly different from the TZ Kiswahili, Try the one in LAMU!!! it is different yet all is Kiswahili.

  It's better to use this forum ya lugha, ku funza lugha...
  there are so many people out there who are interesed in learning Kiswahili...

  Long Live Kiswahili.
   
 8. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280

  kwanini unataka kuwasaidia?..mtu hajaomba msaada wa tatizo wewe unakurupuka kuwasaidia..ukiambiwa umetumwa utasemaje??...

  hakuna cha kufanya...waachwe waamini kuwa ni wazungu ili waende uingereza na wakifika huko wazungu halisi wanawashangaa kwanini hawajui kiswahili lugha ya afrika...natamani kucheka mie
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  aan wewe ndio kichekesho....lugha gani hilo unaloandika?
   
 10. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,189
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Mkuu, hapa unanifundisha kiswa-nglish (kama tunavyosema bongo). Sijaona kiswahili cha kujifunza!
  Wakifagilia kiswahili kwa kutumia kingereza!!!!!
  Kweli ukishagaa ya Musa.......
   
 11. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2009
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hahaha tee hee tee hee titter titter!!!
  what booboo?!!! You can't read english? Oh very sorry!
  Maybe next time...hahahahaha

  Got no air time!
   
 12. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  sikuelewi jilugha unaloongea.....unatetea kiswahili na bado unaandika kikoloni..wewe ndio wale wale.....
   
 13. Kipala

  Kipala JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 3,537
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Si rahisi kusema eti kuna aina za Kiswahili kila sehemu sawa na lahaja za Kiingereza, Kijerumani na kadhalika. Kwa matumizi kama chetu hapa mtandaoni tunahitaji aina ya usanifishaji wa lugha ya kuandikwa. Vinginevyo kila mtu anaandika jinsi anavyosikia na sisi wengine tutachoka tukijaribu kuelewa anachomaanisha.

  Ni sawa hakuna ubaya kutumia lahaja; kama sheng ni lahaja kamili tayari au bado ngazi chini yake ni swali tofauti napendendelea kuliwaachia wataalamu wakifanya uchunguzi. Ila tu kwa mawasiliano na kukuza lugha tunahitaji uelewano kiasi fulani juu ya swali je Kiswahili sanifu ni nini.

  Si lazima kukubaliana asilimia 100 lakini chini ya 80-90 % tutaona ugumu kwa sababu watuw atachoka na kutumia kiingereza kile walichojifunza kwa umbo sanifu.
   
 14. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2009
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Are you not reading the same kikoloni that i have written?

  Like I wrote before i really do not have air time for your kind of uchokozi.

  Look for a topic herein and join in the debate and do not pick on me.

  I'm no ashamed to write in kikoloni as you call it. It is what it is...and trying to ridicule me is not gonna change anything.

  I speak and write both english and kiswahili and i choose to communicate in english....that is my choice.

  YOU DO YOU and I DO ME!!! Comprende!!
   
 15. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  weee vipi.....
   
 16. Lemunyake

  Lemunyake Senior Member

  #16
  May 11, 2009
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  I agree totally with you . It is time to stop cultivating xenophobia . We might just find ourselves in the same situation that we had sometime back in South Africa. Its time to wake up , smell the coffee and stop blaming other strengths for our weaknesses

  'NUFF SAID !!!!
   
 17. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2009
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Where we dare to talk openly about hate or what? Why tunaanza kuwa against everything watoto wa kambo wanachofanya? pamoja na kwamba I am always against them based on my own reason lakini on this issue I dont see any ground for us kuwaattack.

  I do love their Sheng its unique. Ni kama sie jinsi tunavyoongea kiswahili kila sehemu wana namna yao ukienda Mwanza utakutana na mikandamizo ya kisukuma, Bukoba wana yao, Arusha ipo swahili yao na kiboko yake ushasikia Kimakunduchi? Kiswahili ni chetu sote hakuna owner wa lugha bwana. Many of Sheng words zimetoka kwetu ila sisi hatukai na maneno saana huwa tunareplace very quickly si mnakumbuka "nyapu", "shori", "demu","bati", etc.

  We Tanzanians, we are not HATERS to that level carry on Step Brothers with your Sheng. Mazee nawakilisha
   
 18. m

  mpeter Member

  #18
  May 11, 2009
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hapa Missungwi!kuna urasimu sanaaa kiasi kwamba hata wafanya kazi wapya wanakata tamaa, Kuanzia Mkurugensi hadi wafanya kazi,utendaji kazi wao unaonyesha udhaifu mkubwa kiasi cha kuwakatisha tamaa walimu wapya, najua haya ni madrara ya kuteuana pasipo kuangalia utendaji kazi na kiwango cha elimu.Undugu umetawala sana.Watanzania tutafika kweli?????nafikiri bado sanaaaaaaaaaaaa,ajira ni taabu, serilaki inal;allalamika haina walimu lakini serikali hiyo hiyo haiwajali waalimu,acha shule binafsi siendelee kupeta.
   
 19. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #19
  May 11, 2009
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hahahahahahahahahahahahahahaha!!!!!!!
   
 20. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  wozup nyara
   
Loading...