Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 376
- 850
10,001
Naomba mnisaidie kuweka hii namba katika maandishi(kwa kiswahili)
Naomba mnisaidie kuweka hii namba katika maandishi(kwa kiswahili)
Elfu kumi na moja!10,001
Naomba mnisaidie kuweka hii namba katika maandishi(kwa kiswahili)
Elfu kumi na moja!
11,000?
10,001 inatamkwa 'Elfu kumi na moja', 11,000 inatamkwa 'Kumi na moja elfu'.
Ili Ueleweke Unasema, Elfu Kumi Na Shilingi Moja
Na ikiwa huhesabu fedha?