Habari za mihangaiko ya maisha ndugu zangu wana JF?
Tangu hili neno lisemwe kumekuwa na mengi.Naomba kujua maana ya neno lofa na asili yake ni wapi maana nilipokuwa mdogo nililisikia sana na...
Wana JF Hola!! Nimekua nashindwa kutofautisha maneno haya, pengine kuyatumia bila itifaki.
1. Kunyang'anya Vs kupokonya
2.kung'ata Vs kuuma like kuumwa na mbu
3. Kupora Vs kukwapua...
JF cute members Hola!!! ¿Còmo estas?
Please help me out, can anyone amongst you tell me what exactly, below Nigerian proverb depict in our societies?
"he who went to sleep with an...
The Definitions of "Upstream" and "Downstream" in the Production Process by Brian Bass, Demand Media "Upstream" and "downstream" are business terms applicable to the...
Ndugu wadau wa lugha, kuna hili swala la illegal immigrants kuitwa wahamiaji haramu kwa lugha ya Kiswahili.
Nadhani kinyume cha haram ni halali. Kwahiyo dhana ya kuwaita watu hawa haramu ni...
Ndugu wanaJf,
Naomba mnijuze maana sahihi ya neno "uroho" kwani nimewasikia wanasiasa wakilitumia mara kadhaa hususani katika nchi za Kiafrika. Kadiri siku zinavyopita kuelekea uchaguzi napata...
Waswahili wanatumia huu msemo, mimi niwaachie ndugu wenzangu wa jamii forum mnipe maana sahihi ya msemo huu na wakati tulionao sasa
Naomba kuwasilisha.....!
Kipi kiswahili sahihi kati ya kusema dawa ya meno au dawa ya mswaki?
Kama ni dawa ya mswaki kwani mswaki unaumwa nini ? Kama ni dawa ya meno kwa nini ukienda hospitali ukiwa unaumwa meno hupewi...
Ni vitu gani vya kuzingatia katika utunzi wa mashairi?
1. Shairi sharti liwe na vina na mizani
2. Liwe na urari
3. Liimbike, ndo utamu huo
4. Liwe na ujumbe
5. Liwe na kicha cha shairi
6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.