Dennis Brutus
I MUST SPEAK
I must speak
[this is my desire]
in the channels of your ear
in your silent moments,
or when your heart answers
and, seeking words,
hears echoes...
In this country
In this air
Where these trees grow
Where clear air flows
Before, behind, above
And through the throat
Flows a cool and crystal stream
To where the milk white domes
In...
I have an assignment in Dar es Salaam, so I might be there for a couple years. I need to learn some basic Swahili. Anybody want to help?
Like, how to say:
I'm hungry.
I need gas.
I want to go...
Ninaishi kijijini na kwa kuwa napenda sana utani na masihara, vijana wengi waliomaliza shule (sekondari) hunitembelea
nyumbani kwa stori mbili tatu.
Katika mazungumzo lugha ya kiingereza...
Kwa sisi ambao hatukupata bahati ya kusoma kutokana na sababu mbalimbali hususani kule kutokea kwenye familia masikini lakini kwa kudra za mwenyezi mungu tukijikuta tuko kwenye biashara...
Ukienda Zanzibari usijekushangaa kusikia tafsiri ya maneno yafuatayo, ukipanda Chai Maharage na ukisikia Konda anatamka 'kiporo' jua ni kifurushi kidogo cha abiria, kifurushi cha unga, mchele...
Wana JF,
Ningependa kuuliza ikiwa ni Kiswahili sahihi pale ambapo Mheshimiwa Rais na Waheshimiwa Majaji wanaitwa Watukufu.
Binafsi, na hasa katika misingi ya ibada, ninaona kama utukufu ni sifa...
1>kila mmoja anajua,shida tulizozipata.
Tuliunguzwa na jua,tukafanywa si mabata.
Tena tusijeungua,na misiba tukapata.
Kumi kumi iwe vyema,mabadiliko ni sasa.
2>hutakiwi hutakiwi,mbona...
Salaam nakuta posta ya Tanzania imeanzisha mfumo wa kuipa kila kata na kijiji namba fulani inayoitwa "Post Code" au "Postal Code" kwa Kiingereza.
(tazama hapa...
Fafanu chimbuko na asili ya lugha ya kiswahili na eleza kwa mf;Kabla ya kuja kwa wageni katika upwa wa afrika mashariki ni lugha gani ilikua ikitumika enzi hizo?
Napenda sana kazi udirector wa matangazo. Lakini nashangaa kuna wakurugenzi wengine wanachekesha sana. Hivi unaachaje tangazo linaruka redioni au kwenye TV mtu anatamka Lais badala ya Rais, au...
Caged Bird
The free bird leaps
on the back of the wind
and floats downstream
till the current ends
and dips his wings
in the orange sun rays
and dares to claim the sky.
But a bird that...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.