Nimemsikia mara kadhaa mheshimiwa Rais anapohutubia anasema "nachomekea tu" Miongoni mwa mara nilizomsikia ni pamoja na wakati wa mkutano wa wakuu wa Afrika Mashariki ambapo baada ya kuongea...
NYUMBU AMUONGOZA PUNDA.
1)punda mlia mjanja,ameshashikwa mkia.
Kakamtwa kila nyanja,anaujanja alia.
Ameporwa ukiranja,kimya kimya atulia.
Nyumbu amwongoza punda,kilio chini kwa chini kwa...
SINA NDUGU MJINI(rudio).
1)urafiki siyo hapa,acheni hilo ni nene.
Mwenze nisitoke kapa,mje ruka kisenene.
Vaeni kanda malapa,kimya kimya muuchune.
Mjini mi sina ndugu,kelele ze si za chura...
Nahitaji ushuhuda kwa MTU yeyote aliye na ushahidi kuhusu kujua kuongea English fasaha .
Nahitaji kusoma kozi ya uhakika ila sijawahi kupata ushuhuda wa aliyefanikiwa.
1)naanza kuwasalimu,kwa jina lake manani.
Salamu kwetu muhimu,juu yenu iwe amani.
Mola wetu mkarimu,atupe nyingi imani.
Leo ni siku muhimu,wanawake duniani.
2)wanawake ndio nguzo,hilo...
Ninaapa kwa mababu, na mizimu ya kikwetu,
Natoa leo sababu, roho yangu iwe kwatu,
Ni hili lilonisibu, kunifedhehesha utu,
Walilokula wengine, tunda hili mimi sili!
Nimepewa tunda hili, la bure...
KILIMO NI UTI WETU.
1)Alipoumbwa adamu,alikabidhiwa jembe.
La kale la zama damu,alime hadi maembe.
Kilimo ndie nidhamu,ugumu katwa na wembe
Kilimo ni uti wetu,dira ya maendeleo.
2)lima hadi...
1)mbona unakunja uso,kabla ya mimi kunena.
Ukishanyimwa mnuso,wa kwanza toa laana.
Pole huo ni mguso,kile kimezindukana.
Kikiliwa cha legea,kitumikapo cha nuka.
2)kione kwanza kilivyo,pata pata...
Hivi hadithi maarufu kama Karumekenge zilikuwa kwenye vitabu?
naweza pata wapi vitabu vyake?
Anaejua hadithi hizi anisaidie
Yohhana Mjinga
Karumekenge
Katope......
na zingine
‘Namaste’ or ‘namaskar’ is the Indian way of greeting each other. Wherever they are – on the street, in the house, in public transport, on vacation or on the phone – when Hindus meet people they...