Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,492
- 4,770
NYUMBU AMUONGOZA PUNDA.
1)punda mlia mjanja,ameshashikwa mkia.
Kakamtwa kila nyanja,anaujanja alia.
Ameporwa ukiranja,kimya kimya atulia.
Nyumbu amwongoza punda,kilio chini kwa chini kwa chini..
2)mbogo alikuwa tembo,leo wamemkimbia.
Amenaswa na urembo,mbali amekimbilia.
Hana jipya na matambo,fumgate hatojilia.
Nyumbu amwongoza punda,kilio chini kwa chini.
3)jinyumbu kulazimisha,manyumbu kunyamazia.
Vichwa wanavitingisha,wale waliogundua
Taratibu wakifisha,msafara wangami.
Nyumbu amwongoza punda,kilio chini kwa chini.
Shairi:NYUMBU AMWONGOZA PUNDA.
mtunzi:Idd Ninga wa Tengeru Arusha
0624010160
iddyallyninga@gmail.com