Msaada kuhusu Ras Simba

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,501
28,703
Nahitaji ushuhuda kwa MTU yeyote aliye na ushahidi kuhusu kujua kuongea English fasaha .

Nahitaji kusoma kozi ya uhakika ila sijawahi kupata ushuhuda wa aliyefanikiwa.
 
Ndio cha kuongea

Huna nia wewe, ungekuwa nayo tayari ungeshaenda kwa Ras Simba kufundishwa kwa kutumia ile formula ya N+T+S ambayo aliitoa Ulaya.

Kwani kitu gani, usipoelewa anakurudishiaa hela yako.
 
Huna nia wewe, ungekuwa nayo tayari ungeshaenda kwa Ras Simba kufundishwa kwa kutumia ile formula ya N+T+S ambayo aliitoa Ulaya.

Kwani kitu gani, usipoelewa anakurudishiaa hela yako.

Utakuwa. ..ras simba ww
 
Soma post ujibu ulichoulizwa

Darasani huwa hatupati maksi sawa ingawa tunafundishwa kila sawa, vitabu sawa, walimu sawa n.k.

So aliyefaulu wanasema mwalimu ni mzuri na aliyefeli wanasema mwalimu siyo.

Conclusion: Kujua lugha ni bidii yako binafsi, vinginevyo ukaishi mahali ambapo hiyo lugha ndo pekee inatumika na hakuna jinsi nyingine ya kuwasiliana.
 
British Council ndo kila kitu man...Au kama vipi muulize Diamond kafanyeje
 
Hivi ipo wapi hiyo British council? ada bei gani na kozi inachukua muda gani?

Iko Posta karibu na steers,
Pale lzm ujue kwasababu mnakutana mataifa mbali mbali,
Waalimu ni wazungu (hawajui kiswahili)
Wanafunzi utakutana na wachina, wakorea, waarabu, yani tofauti tofauti na wote hawajui kiswahili, so lugha ni moja tu ya mawasiliano ENGLISH,

Ada zao kwa sasa nadhani itakua imefikia laki 4 na nusu mpk 5,
Kwa miezi mitatu.
 
Masomo yanaanza saa ngapi hadi kumalizika?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom