Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,539
- 4,854
1)natamani niseme,shida sheria bandia.
Kama kivuli cha umeme,kesi watakupatia.
Wakuone paka shume,eti tusi kuwambia.
2)natamani wajue,maisha kufikiria.
Hata kama wajiue,hakuna wakuwaokoa.
Mwisho nyote watulie,mwisho,mwisho wao ufikie.
3)natamani waelewe,tamatiyo karibia.
Tabia yao ya mwewe,katibu yamalizia.
Ua bovu lichanuwe,kimya wajimalizia.
4)ninatamani waone,kwani macho yasinzia.
Wao waiba senene,kesi ya wakaribia.
Tena siku ya manane,hukumu twawapatia.
Shairi:NATAMANI.
Mtunzi:Idd Ninga wa tengeru Arusha.
+255624010160.
iddyallyninga@gmail.com
Kama kivuli cha umeme,kesi watakupatia.
Wakuone paka shume,eti tusi kuwambia.
2)natamani wajue,maisha kufikiria.
Hata kama wajiue,hakuna wakuwaokoa.
Mwisho nyote watulie,mwisho,mwisho wao ufikie.
3)natamani waelewe,tamatiyo karibia.
Tabia yao ya mwewe,katibu yamalizia.
Ua bovu lichanuwe,kimya wajimalizia.
4)ninatamani waone,kwani macho yasinzia.
Wao waiba senene,kesi ya wakaribia.
Tena siku ya manane,hukumu twawapatia.
Shairi:NATAMANI.
Mtunzi:Idd Ninga wa tengeru Arusha.
+255624010160.
iddyallyninga@gmail.com