Wahaya naomba mnisaidie kuandika haya maneno

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,281
6,697
Naomba maneno yafuatayo mnisaidie kuniandikia matamshi yake kwa kihaya. NAKUPENDA SANA MPENZI WANGU, NAOMBA UNIOMBE RADHI KWA MANENO YAKO MABAYA ULIYONITAMKIA ILI TUWEZE KUWA PAMOJA. NA KAMA HUTAKI BASI KILA MTU ASHIKE NJIA YAKE.
 
KIHAYA :tikaba kabushwere, napendagashi bhebhe nilombe inyenyi iswe ifu yu takagi leka nigende tu michepuko got.
 
Back
Top Bottom