Fluconazole
Member
- Jan 12, 2016
- 6
- 2
Naomba kujifunza lugha ya Kinyiramba
Nasubiri shule ya Kinyirambanitafute kama kuna malipo
SongelaNikikwambia Ulaile yani, unajibu izaaa. Ukiweza tu kuzungumza hivi ushaweza kung'oa mtt wa Kinyiramba...
KWA KUANZIA NAOMBA MAANA YA MANENO YAFUATAYO:Songela
Mkuu unanionea, hiyo songela maana yake asante, kola za ntondo maana yake habari za Siku, mengine nimeyasikia kwa Bi Mkubwa tu, mi mngoni! Wanaoujua watakuja kukuelezea!KWA KUANZIA NAOMBA MAANA YA MANENO YAFUATAYO:
HABARI YAKO, HABARI ZA LEO, HABARI ZA NYUMBANI
HABARI MBAYA, HABARI NZURI,
MBAYA KWA NINI, MBAYA KWA KUWA NAUMWA, HABARI MBAYA KWA KUWA WATOTO WANAUMWA
MKE, MUME
MIMI, SISI, WEWE, YEYE, WAO,
NITAKUJA, TUTAKUJA, UTAKUJA, ATAKUJA, WATAKUJA
BABA, MAMA, BABU, BIBI, MAMA MDOGO, BABA MDOGO, MAMA MKUBWA, BABA MKUBWA
KAKA, DADA
SHEMEJI, WIFI
MKOMBA, SHANGAZI