Nini hasa maana ya neno bwege?

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,438
32,248
Limetumika bungeni na naibu spika kumtuliza mbunge kwa kumuita bwege baada ya kutoridhshwa na mwenendo wake maana yake hasa ni nini hili neno?

Pia Arusha limempekeka raia mahakamani kwa kumuita rais hilo neno hapo, tunarudi bungeni tena upande wa kamati ya maadili.

Je kama ni la kiudhalilishaji kwa nini haikuchukuliwa hatua kwa naibu spika kutoa lugha za udhalilishaji kwa mbunge mwenzie? Kamati ya maadili ipo upande upi wa chama tawala au upinzani?

Kama ipo sahihi kwa hatusikii upande ule wakiwajibishwa kwa lugha hizo za kuudhi?

Nawasilisha.
 
mkuki kwa nguruwe........! usisahau pia TUMBILI, na kuwa .....ALIFELI MATOKEO YA KIDATO CHA VI. waliodhakilisha wenzao kwa isitilahi hizi wote waliachwa huru. nalazimika kuamini jina la filamu ya kihindi Andha Kanoon!-upofu wa sheria
 
Back
Top Bottom