kiti cha marimba kikoje

kiti cha marimba kikoje

bi mgeni

Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
7
Reaction score
3
habari zenu wapendwa wa jukwaa la lugha:
naendelea na kazi ya ufasiri kiswahili kwenda kiingereza... leo imebidi nifasiri "kiti cha marimba." je, "wooden chair" inatosha? au kiti cha marimba kina upekee fulani ambao haufikishwi kiingereza kwa kusema "wooden chair" tu? kama kawaida nitashukuru sana kujua maoni yenu.
ni mimi wenu,
bi mgeni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom