mnoel JF-Expert Member Aug 14, 2012 211 98 Jun 9, 2016 #1 Hii sentensi huwa naiskia sana kwenye vyombo vya habari hususani BBC "siasa za mrengo wa kushoto..au mrengo wa kulia" inamaanisha nini hasa?
Hii sentensi huwa naiskia sana kwenye vyombo vya habari hususani BBC "siasa za mrengo wa kushoto..au mrengo wa kulia" inamaanisha nini hasa?
MWANDENDEULE JF-Expert Member May 24, 2015 3,996 7,087 Jun 9, 2016 #2 mnoel said: Hii sentensi huwa naiskia sana kwenye vyombo vya habari hususani BBC "siasa za mrengo wa kushoto..au mrengo wa kulia" inamaanisha nini hasa? Click to expand... Ongeza na hii: "siasa za mrengo wa kati/wastani"
mnoel said: Hii sentensi huwa naiskia sana kwenye vyombo vya habari hususani BBC "siasa za mrengo wa kushoto..au mrengo wa kulia" inamaanisha nini hasa? Click to expand... Ongeza na hii: "siasa za mrengo wa kati/wastani"
N Ngido Daudi Member Feb 28, 2016 14 8 Jun 11, 2016 #3 Ninaomba kutumiwa litany cha Rose Pistols mwandishi