Mambo ya Pemba hayooo! Je! Unaona ndani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ya Pemba hayooo! Je! Unaona ndani?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by mpemba mbishi, Feb 11, 2012.

 1. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwajwa: Kwaja ujio wa haja, mno uliongojewa
  Ulosemwa ni kangaja, wasiwasi
  ulozuwa
  Mngoji sechoka ngoja, na mikono
  kunyanyuwa
  Kutwa nilitarajia, sena hakika yatawa! Waja niliowangoja, waja na hina na liwa
  Na la asumini koja, na kikuba cha
  kifuwa
  Basi haya hiyataja, mwili yanisisimuwa
  Na machozi yanitowa, wengine
  hiwawazia. Waja waja wa Mmoja, na miye ni mja
  sawa
  Waja wote kwa pamoja, kwa rehemaze
  Moliwa
  Huja kweli mambo huja, lau
  yakisubiriwa Siku Rabbi kiamuwa, Husema kuwa
  yakawa.
   
 2. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  nikiwa form 3 tulifundishwa rahaja mbalimbali..naona umetoa mfano wa moja ya rahaja.
   
 3. u

  ustadhijuma JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2016
  Joined: Jul 20, 2015
  Messages: 2,966
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  hahahaha raha Sanaa vyoo
   
Loading...