Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,287
- 486
Hii thread ni Maalum kwa MANGI wote waliopo Mjini. Tuendelee kufundishana Kichagga na ile Misemo/Methali za Watu wa Kale ili kutunza Mila na Desturi zetu.
Kuna Misemo kama "Mokaa kacha nekenyo wa Tao"
"Kokumbuo Rumu, Shinga numba"
Na mingine Mingi.
Tupeane na Elimu juu ya Matumizi ya MSESEWE/NDAMANGO/MASALE/kikumbi-kihenge/KIONDI/MAOMBO/MBAKA/MNDU MII/KICHUMI. Kwa uchache.
Karibuni.