Neno mchakato

stweka

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
422
144
Napata wakati mgumu sana kuelewa neno nipo/tupo kwenye mchakato linamaanisha nini hasa? Maana kila mtu analitumia atakavyo,mwenye uelewa zaidi anijuze.
 
Tupo kwenye mchakato = Tunachakata
Ila mara nyingi, hasa kibantu bantu, kuwa kwenye mchakato means kuchakachua
 
Nipo kwenye mchakato maana yake ndio naendelea kulifanyia kazi (suala Fulani) au ndio naendela kutenda.
 
Back
Top Bottom