gilmanywele
Member
- Aug 17, 2015
- 53
- 15
Wakuu , naomba kutafsiriwa haya maneno mawili kwa kiswahili.
Print
Type.
Type.
google kwanza then.......Wakuu , naomba kutafsiriwa haya maneno mawili kwa kiswahili.
Type.
Kugoogle haileti. Kamusi ya kiswahili-kiingereza ya TUKI nayo haioneshi utofauti kwa jinsi nilivyoisoma.google kwanza then.......
Ahsante sana.Nijuavyo mimi
TYPE- Kuandika kwa kutumia kifaa kama kompyuta, simu au typewriter (kifaa ambacho ndio hasa kinaendana na istilahi hii)
PRINT- Kuchapa yaani kuweka maandishi, picha au mchoro kwenye karatasi, kitambaa au kitu chochote kwa kutumia mashine/kifaa cha kuchapa.
Nakubali kukosolewa.