Kupotea kwa MISAMIATI ya lugha ya Kiswahili

Kagondo

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
296
79
Waanzilishi wa lugha ya kiswahili walikuja na maneno mengi ya kiswahili.

Kuna baadhi ya maneno yalitumika kwa nadra, lakini yalipata kipaumbele kufanywa kama maneno matukufu katika lugha , kama sehemu ya historia., ni vigumu kuyataja hayo maneno hapa , ila waliosoma shule hasa za ''kiswahili'' wanaelewa

Wasiwasi wangu ni kwamba, je hawa wanafunzi baadhi wa kizazi cha leo, watayajua maneno baadhi ya Kiswahili endepo misamiati hiyo imehamia katika lugha za kigeni?

Je, misamiati hiyo ina tafsiri SISISI?
 
Back
Top Bottom