Naomba Msaada - Tofauti Kati Ya Huyo na Yule

Kw
Huyo na Yule, Lipi na Gani?
kwa uelewa wangu huyu= yuko hapa manaake sio umbali mrefu.

Huyo=iko kwenye simulizi hayuko hapo

Yule=ni simulizi pia ila imepita muda mrefu zaidi

Daaaah Kiswahili lugha yetu ila ngumu......hahaaaa
 
Back
Top Bottom