K koryo JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 639 Reaction score 278 Feb 3, 2016 #1 Naombeni sana kunielemisha maana ya neno mashiko. Kia mara nimewasikia watu wakisema maaneno yako hayana mashiko.
Naombeni sana kunielemisha maana ya neno mashiko. Kia mara nimewasikia watu wakisema maaneno yako hayana mashiko.
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,843 Reaction score 11,782 Jul 23, 2016 #2 koryo said: Naombeni sana kunielemisha maana ya neno mashiko. Kia mara nimewasikia watu wakisema maaneno yako hayana mashiko. Click to expand... Hayana sababu za msingi
koryo said: Naombeni sana kunielemisha maana ya neno mashiko. Kia mara nimewasikia watu wakisema maaneno yako hayana mashiko. Click to expand... Hayana sababu za msingi