lugha yenye maajabu..!!

lugha yenye maajabu..!!

kabon14

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
1,233
Reaction score
871
Habar wakuu, Nianze kw kumshukuru aliye toa wazo la kuunda lugha ya KISWAHILI.Binafsi huwa najiskia Furaha Sana nnapo itumia lugha hii tamu,iliyo jaa hekima na ukarimu.... Watu wanao itumia pia Ni wengi wa busara.....Leo nnapenda tucheze mchezo mmoja ili tuifurahie lugha yetu kwa ukarimu tulionao wanakiswahili..Mchezo uko hiv,unatakiwa uandike sentens itakayo mfrahsha aliye juu yako kutokana na maneno mazur aliyokuandikia,... Hakikisha sentens yako Ina anzia na irabu au silabi ya mwisho katka sentens ya juu yako..MFANO
....habar yako rafki yang,nnafrah Sana kkuona u mzma"

....mapenz niliyonayo juu yako hayaelezeki"

...Kila nikuonapo najawa Na furaha"

Karibuni wakuu tuifurahie lugha yetu.......
 
Nenda kwenye sehemu ya jokes/udaku, kuna uzi 'wa mwisho ndio mshindi' jaribu kulinganisha na hii unayotaka kuanzisha.
Mfano wako haueleweki.
 
Kama n ki**** huwez elewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom