gilmanywele
Member
- Aug 17, 2015
- 53
- 15
Katika baadhi ya habari mbalimbali ambazo nasoma au katika mazungumzo kadhaa, baadhi ya waandishi au wazungumzaji huleta sentensi kadhaa ambazo ndani yake kuna neno "iko" au "hiko". Je ni maneno sahihi katika lugha ya kiswahili?