Kwa hali hio acheni tu kizungu kitumikekam lugha ya kufundshianmependa avator yako..!!
haaa haaaaa
kinaitwa kipoozeo na kiungushio...!!!
Mtungi wa maji ya kunywa wa kizungu.View attachment 370358Anaefahamu kifaa hiki water dispenser kinaitwaje kwa Kiswahili
Hao BAKITA hata sijui kama wana walau "website"Bakita pitieni humu
Na maji moto pia"Mtungi wa Maji Baridi"
Hawana ila wana access ya youtube kuangalia Chura ili waifungie.Hao BAKITA hata sijui kama wana walau "website"
kinaitwa kitentereko.Wew mwenye original tupe jibu
Friji ni kizungu mkuu... basi ingekua jokofu mtungifriji mtungi.