Napenda kiswahili lugha yangu,.. Msaada wa maana na tofauti ya maneno haya....

Nanoli

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
3,735
5,967
Hi,

Naamini vichwa vilivyopo hapa jf, nitapata msaada wa maana na tofauti ya maneno haya ktk matumizi, au lipi ni sahihi na sio sahihi
1. WIMBO
2. NYIMBO
3. MWIMBO

Nawasilisha
 
Hi,

Naamini vichwa vilivyopo hapa jf, nitapata msaada wa maana na tofauti ya maneno haya ktk matumizi, au lipi ni sahihi na sio sahihi
1. WIMBO
2. NYIMBO
3. MWIMBO

Nawasilisha
Wimbo = mmoja,
Nyimbo = nyingi,
Mwimbo = makosa katika lugha
 
Nina wimboo wimboo wimboo. .....
Mwenzenu nina wimboo wimboo wimboo......
Kasie nina wimboo wimboo wimboo. .......

Nitamwimbia bwana kwakuwa ametukuka sanaa, farasi na mpanda farasi amewatupa baharini. .. Mungu kwa rehema zake amewabariki wote wamtafutao. ....

Kasie nina wimbooo. .........

Natamani JF wangeweka kitufe cha kuchangia kwa sauti kama kule wasap unabonyeza mike (hold) na kuongea ukiachia mike inajipost....


Kungekuwa na hicho kitufe ningewaimbia na sauti kuu kuu yenye kukwaruza ile imtoayo chura mtoni heheheh

Kudos.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom