Msaada kwa wale wanaojua Kiingereza

moesy

JF-Expert Member
Oct 30, 2012
3,555
3,535
Mnisaidie tafsiri ya maneno yafuatayo kwa kiingereza.
Mpunga, Mchele na wali.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Mpunga - unmilled rice
Mchele - rice
Wali - cooked rice
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom