Habari zenu wakuu;
Naomba radhi kwa wale wote walioshindwa kunipigia jana wakati soma la Kifaransa linafundishwa star t.v; inasababishwa na watu wachanche ambao wakipiga simu hawataki kuachia...
za kazi jamani, kuna hili neno ambalo watu wengi tunatumia kama tafsida ya maana kuingiliwa kinyume na maaumbile. TIGO.au 0713.. nafahamu tangu mwanzo kuwa kuna mtandao wa simu ambao asili yake...
Nichezee upate raha,
Kwa ujinga jazie furaha,
Ni binadamu kwako Mi kifaa,
Sote twafa hatuijui saa,
Kwangu umefanya kwako,
Mjinga mkubwa tacheka kifo chako,
Yote Yana mwisho,
Na yako...
Habari wana lugha
Fasihi haitokani na ombwe bali ni matokeo ya uzoefu wa mwandishi..Ni kwa vipi kauli hii imeridhiwa na waandishi wa tamthiliya mbili ulizozisoma..
Naomba kufahamisha Maana Ya...
wataalamu hebu nifafanulieni hapa
binamu ndio nani kwa kiingereza?
na cousin kwa kiswahili?
na niece kwa kiswahili?
nephew kwa kiswahili????????
asanteni.....
Wanabodi wajuzi wa lugha,
Rais anapozungumza na Wazee wa Dar es Salaam, wale wa mazungumzo hayo huwa ni kwa ajili ya Wazee wa Dar es Salaam tuu and Watanzania kwa ujumla?!.
Nimeuliza kufuatia...
Wakuu pokeni na kazi ndo weak and imeanza hivyo!!
Wakuu huku kitaa kuna kijimsemo kimeanzishwa hata sijui mwanzilishi nani!! Yaani kitu kidogo mtu analalamika anasema "huyu jamaa amebana sana"...
Koma mwana nakuasa, dunia hino yatisha,
Koma tena koma hasa, siyapupie maisha,
Koma sicheke garasa, turufu huja na kwisha,
Koma mwanangu koma, koma uishi salama.
Koma kumcheka mamba, mtoni wenda...
Kuna mdada yupo anafanya kazi za nje ya nchi , sasa maelewano yake na mabosi yamekuwa magumu sana ndio kaniomba nimtafutie japo vitabu aweze kujifunza kingereza japo kidogo,
WANDISHI:PAUL BEN MTOBWA.
YEAR:2016
CONTACT:0676-310625
Haki zote zimehifadhiwa hairusiwi kuiga,kunakili au kutumia riwaya hii fupi kwa njia yoyote bila idhini ya heko publishers.
ISNBN...
Wakati huo john alikuwa amezidisha ile tabia ya ulevi uliopindukia.wazazi wake kwa kutaka kuepukana na aibu hiyo wakamshawishi aoe kwa matumaini kuwa pepo mbaya aliemkumba mwanao angeondoka baada...
NYAMA YA BUNDI.
1)ni tamu kama halua,ila ni chungu kuila.
Kumeza hutoamua,kama ukila kwa hila.
Mpishi wajipikia,pishi liso na fadhila.
Nyama ya bundi si tamu,vipi unatuwindia.
2)nyumbani...
Hata kama kitu ni muhimu kwako, au ni mtu muhimu,iwe ni ndugu yako pengine imetokea mumetofautiana kimawazo au ugomvi, Jirani yako, au rafiki ama mtu wa kati hataki kujua chanzo cha matatizo au...
WASHAIRI MAPOKEO.
1)ni kweli tumeridhika,kwa kuishia kutunga.
Huku tukifurahika,kwa tungo twaunga unga.
Ama tunahuzunika,wa bara hata wa tanga.
Washairi mapokeo,mbona hatusongi mbele.
2)wenzetu...