God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,786
- 3,067
gotta, outcha, outa n.k ya huu mfumo yani american wanayatumia sana.
ongezea na unayoyajua unitoe huku gizani
ongezea na unayoyajua unitoe huku gizani
Gotta = got togotta, outcha, outa n.k ya huu mfumo yani american wanayatumia sana.
ongezea na unayoyajua unitoe huku gizani
wanna, lotta? help plzGotta = got to
outcha = out here
outa = out of
Wanna - want towanna, lotta? help plz
You know what I am saying?Yunowaramseing
HahahahahaYunowaramseing
nashukuru sana mkuu ntaisaka hiyo dictionryWanna - want to
Lotta - a lot of
Maneno yote haya jaribu kuyaangalia katika google, urban dictionary inatoa maelezo yake.
A'nt knoeWanna - want to
Lotta - a lot of
Maneno yote haya jaribu kuyaangalia katika google, urban dictionary inatoa maelezo yake.
A'int..know...maana ake nnGotta = got to
outcha = out here
outa = out of
Umenifanya nicheke sanaAgala fakyu..!!!
Aint - am not, are not, has not, haveA'int..know...maana ake nn
Aint - am not, are not, has not, have
Aint know - i don't know
Ukitaka kujifunza kiingereza sahihi usifuate hiki, kitakupotosha kwani sio rasmi.
Sio rasmi hata kwa wao, kwani mashuleni, vyuoni na ofisini machapisho, barua, kujibu mitihani ni kiingereza kilichonyooka sio hiki.Ni rasmi kwa wana US baby!
Is it what you are saying or what you are writing?You know what I am saying?
Yunowaramseing
Is it what you are saying or what you are writing?