mwagitoHabari wapendwa naomba msaada wa majina common yanayotumiwa na wahehe
Majina ya watu au vitu?, maana Kuna vitu vya ajabu vimeanza kutiririka hapa, sijui hawajakuelewa?.Habari wapendwa naomba msaada wa majina common yanayotumiwa na wahehe
MsumangeMajina ya watu ndo Nina shida nayo
Yani nashukuru sana mkuuMsumange
Kibasa
Kinyunyu
Mnyavanu
Mfalingundi
Tendega
Mbata
Mveyange
Mkwawa
Kalinga
Kalolo
Mwamuhindi
Mgovano
Kikoti
Mkeremi
Lukosi
Kiteve
Lukuvi
Mgimwa
Balali
Msola
Mwamoto
Mgata
Mhina
Mwanagwemtibu
Mgina
Mfalingudi
Segesela
Kasuga
Luhigo
Kitime
Nyadwike
Kiwanga
Masasi
Mpangala
Magova
Nyaulingo
Mgaya
Mdendemi
Nziku
Lugenge
Mlowe
Nyaulile
Mgongolwa
Luhwago
Mwigani
Kihwele
Matimbwa
Mdegela
Madembwe
Ngede
Kulanga
Ng'ingo
Nyenza
Semtema
Mhavile
Mtivike
Mnyenyelwa
Mbugi
Mdete
Mdesa
Kihongosi
Mfwalamagoha
Balama
Kikove
Mwamuyinga
Mkwavinyika
Malipula
......
Waendelee wengine
Vipi kwani Kuna ndoa inatakiwa huko nini, interview Yao utaje majina?.Yani nashukuru sana mkuu