Kama kuna kitu kinachonikera kwenye blogs zetu ambazo huandikwa[kutafsiriwa kwa kiingereza] ni ni oborongaji wa lugha hiyo kiasi hata nikisoma mimi ambaye ni mtanzania sielewi na mara nyingi...
Nipeni kiti nikae, nikae na niteteme,
Ndugu msinishangae, nililonalo niseme,
Ya chakula cha ukae, maneno yangu nipime,
Sambusa ni tamu bwana, hasa za kitanzania!
Nilialikwa na Rozi, Fatuma naye...
1. Neno SAFARI lina maana ngapi wakuu?
2. Kwanini neno SAFARI limewah sana kuvuka mipaka katika Dunia?
Najua wengi mtaniona mjinga, ila yote kwa sababu nataka kujua. Siku zote napendelea kuwa...
Habarini wanajamii,
Leo nimeona niwaletee baadhi ya misemo ya kinaijeria na maana zake.
Misemo hii ipo katika lugha ya PIJIN( mchanganyiko wa kingereza na lugha za asili za naijeria) ila maana...
Ndugu zangu mimi ni kijana niliyeishia darasa la saba kielimu, natafuta mtu yeyeto wa kunifundisha kingereza cha kuongea na kuandika. Kama kuna aliyetayari aniambie
Habari wana Jukwaa...
Nimekuwa nikitafuta soft copy ya Kamusi ya Kiswahili - Kiswahili kwa ajili ya matumizi ya kazi zangu (Uandaaji/Utunzi wa makala za kijamii) mtandaoni bila mafanikio..
Naomba...
KATIKA kitabu chake cha tawasifu "MAISHA YANGU NA BAADA YA MIAKA HAMSINI" Shaaban Robert anasimulia dhiki, adha na udhalili alioupitia, pengine kwa sababu ya Uafrika wake, kipindi cha ukoloni...
Kuna baadhi ya maneno kuelezea hali ya mazoea yatumika vibaya. Imekuwa mazoea sijui kama watu huwa wanajua wanafanya makosa. Mfano baadhi ya maneno hayo. Anakwendaga, anakujaga, anakulaga...
Kiswahili ni miunganiko ya lugha tofautitofauti duniani na nimoja ya lugha tamu na yenye kuvutia pindi uongeapo.je ni lugha ya ngapi kwa ubora duniani?
Sweet potatoes kwa Kitaalam vinaitwa 'Ipomoea batatas' hii ni njia ya kitaalam ya kuvitaja viumbe hai kwa kutumia majina mawili (binomial nomenclature).
Waatalamu wa mambO naombeni mnijibu swali hilo..
Mara Nyingi kila nikisikia USA wanaongelea vita lazima wataje neno 'allies'..
Kama sahivi wanapoongelea kuipiga NK lazima wataje 'allies'..
Tangu...
Mara nyingi watumiaji wa lugha ya kiswahili tunafanya makosa bila kujua,kwa wataalamu wa lugha ya kiswahili je ni sahihi kusema kuwa"Nimemkuta hayupo" pale unapoenda kumtafuta mtu ukamkosa