Olodungoroi
Member
- Feb 5, 2017
- 55
- 25
Ndugu zangu mimi ni kijana niliyeishia darasa la saba kielimu, natafuta mtu yeyeto wa kunifundisha kingereza cha kuongea na kuandika. Kama kuna aliyetayari aniambie
Ngoja wataalam waje. Ila kwa kueleweka vizuri ungesema upo Mkoa gani.Ndugu zangu mimi ni kijana niliyeishia darasa la saba kielimu, natafuta mtu yeyeto wa kunifundisha kingereza cha kuongea na kuandika. Kama kuna aliyetayari aniambie
Open your mouth and speak English, that's the only way to become fluent in spoken English.Ndugu zangu mimi ni kijana niliyeishia darasa la saba kielimu, natafuta mtu yeyeto wa kunifundisha kingereza cha kuongea na kuandika. Kama kuna aliyetayari aniambie
Thank youOpen your mouth and speak English, that's the only way to become fluent in spoken English.
Sawa fanya hivyo ndugu yanguTutakufundishia hapa hapa, pia nitakupa upendeleo wakujua Kilatini
Nije wapi mkuuNitafute!
Mkuu usiwe unapenda kutoa namba kabla hujaombwa,ukitaka kumpa mtu namba mtumie PM(private message) sasa huna sababu ya kutumia jina lisilo lako JF kwani namba yako imebeba jina lako.Kwa hiyo umjiweka wazi mwenyewe.kama upo morogoro nitafute 0756516360
Niko mkoani TangaCall 0712 441 850