Tafsiri ya hili neno la kiingereza

directa

Senior Member
Jan 27, 2017
102
150
pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis, nini maana ya hili neno TAFSIRI YAKE, kwa kiswahili na maana yake.
 
That is scientific name of a certain organism sio jina la kiingereza ni jina la kisayansi
Ni jina/neno la kiingereza lilitokana na maneno ya kilatin
wenye kuongeza wanaweza ongeza pia waweza ku copy na kupest google utapata transaltion chungu mzima.Asante
pneumono-----ultramicroscopic----silico-----volcano-------coniosis
Ugonjwa wa mapafu usababishwao na kuingia/kuvuta/kupumua vumbi jembamba la silika mapafuni.
 
That is scientific name of a certain organism sio jina la kiingereza ni jina la kisayansi

Sayansi ndiyo lugha gani mkuu...!!??
Labda tuseme hivi, majina mengi ya kisayansi hasa sayansi ya utabibu, mimea na wanyama (Biological terms), unasihii, na mahusianoyana asili ya lugha ya KIGIRIKI...!!

Tafakari...!!
 
Ni jina/neno la kiingereza lilitokana na maneno ya kilatin
wenye kuongeza wanaweza ongeza pia waweza ku copy na kupest google utapata transaltion chungu mzima.Asante
pneumono-----ultramicroscopic----silico-----volcano-------coniosis
Ugonjwa wa mapafu usababishwao na kuingia/kuvuta/kupumua vumbi jembamba la silika mapafuni.

hasante
 
Sayansi ndiyo lugha gani mkuu...!!??
Labda tuseme hivi, majina mengi ya kisayansi hasa sayansi ya utabibu, mimea na wanyama (Biological terms), unasihii, na mahusianoyana asili ya lugha ya KIGIRIKI...!!

Tafakari...!!
Hapo ina maanisha lugha inayotumika katika muktadha wa sayansi na sio kwamba sayansi ni lugha kama Kiswahili au Kichina
 
What is the meaning of Pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis?
An invented long word said to mean a lung disease caused by inhaling very fine ash and sand dust.

HAPA NI KUWAACHIA TUKI NA BAKITA TU

'Pneumonoultramicroscopicsilicavolcanoconiosis is a form of the illness pneumoconiosis, caused by the inhalation of a fine silica dust found in most volcanoes.'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom