Nimemkuta hayupo

kwalele

Member
Mar 18, 2013
36
15
Mara nyingi watumiaji wa lugha ya kiswahili tunafanya makosa bila kujua,kwa wataalamu wa lugha ya kiswahili je ni sahihi kusema kuwa"Nimemkuta hayupo" pale unapoenda kumtafuta mtu ukamkosa
 
Kuna jamaa alinikopesha mbao mwezi uliopita sasa sikumlipa mwisho wa mwezi kama nilivoahidi..

Juzi kaja getini kwetu kagonga dogo wangu yupo class 5 akaenda cheki kamuuliza "chalii yupo?" Kwakuwa dogo ndo alikua karejea kutoka skul na mimi nipo rum alikua hajaniona basi akaja kugonga mlango akaniambia rafiki yako yule wa pale kwa mama ibuu wa pale cheka ung'atwee anakuulizia nikamwambia "mwambie hayupo"

Dogo kaenda kusema "kasema nikuambie hayupo" kauli hiyo ilinicost ile mbao na nilipanga niende kula miguu ya kuku na balimi dah acha nilale na arosto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom