Msaada wa Kiswahili

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,394
81,242
Jamani sentensi hii utaisemaje kwa wakati ujao
Fatuma alichota maji
Fatuma aliandika vizuri

asante
 
Fatuma atachota maji
Fatuma ataandika Vizuri
asante. mjukuu wangu ameleta homework, nilisoma kiswahili mwisho 1971 !!!!!!!!!!! nimetoka kapa ingawa nilibahatisha kama ulivyonisaidia. I wanted to confirm! THANKS AGAIN
 
Hapo utakuwa umekosea nafsi yaani hapo u-tachota inazungumzia nafsi ya pili umoja wakati sentensi ilikuwa ni nafsi ya tatu umoja a-nachota
Mzee wewe mwalimu wa kiswahili??? Make ata sijaelewa hizo nafsi ni kitu gani..
 
Mzee wewe mwalimu wa kiswahili??? Make ata sijaelewa hizo nafsi ni kitu gani..
Kwa wepesi tu hizo nafsi zinamaanisha mhusika anayezungumziwa katika tendo (anayefanya au anayefanyiwa) kwa mfano mimi na wewe hapa kwa pamoja katika mada itakuwa nafsi ya kwanza wingi (sisi)
 
Back
Top Bottom