Kumbe Viazi-mbatata ni jina la Kizungu! Wanyakyusa ni noumer!

Sweet potatoes sio Viazi mbatata,
Sweet Potatoes ni Viazi Vitamu (kuna vyeupe na Pink)

Viazi Mbatata ni Viazi Mviringo au Viazi Ulaya- irish potatoes
Wacha kuchanganya madesa.. Viazi mviringo ndio kama hivi vinavyokaangwa chipsi.. Mbatata ndo vile viazi vitamu.
 
Hakuna haja ya ku google, kwetu unyakyusani viazi vitamu vinaitwa mbatata, tena kwa msisitizo tunaita eMbatata, huyu google tutamchosha sasa.
Ok sasa nimeelewa, kumbe mnaongea habari za unyakyusani, basi mko sahihi, Lakini kiswahili Mbatata ni Viazi Mviringo-Viazi Ulaya
 
Viazi mviringi sio vitamu hivyo viazi mbatata ni vitamu hivyo vinafaa kuitwa viazi mbatata, hapa kiswahili kimekosa msamiati wa hivi viazi
 
Ok sasa nimeelewa, kumbe mnaongea habari za unyakyusani, basi mko sahihi, Lakini kiswahili Mbatata ni Viazi Mviringo-Viazi Ulaya
kiswahili kinatohoa baadhi ya Maneno kutoka katika lugha za asili kikiwemo na kinyakyusa, kisukuma, kizaramo n.k, ama niseme kibantu. pia baadhi ya Maneno ya kiasia kama kiarabu, kuhindi n.k, kwahiyo tunaposema mbatata ni viazi vitamu, hili neno asili yake unyakyusani Mbeya. na viazi mviringo(vya chipsi) wao uita indofyania. Wasafya wao viazi mviringo ama viazi ulaya uita indokani. kwahiyo usibishe unapofahamishwa.
 
Back
Top Bottom