msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,766
- 5,902
Waatalamu wa mambO naombeni mnijibu swali hilo..
Mara Nyingi kila nikisikia USA wanaongelea vita lazima wataje neno 'allies'..
Kama sahivi wanapoongelea kuipiga NK lazima wataje 'allies'..
Tangu Zamani Kila nikisikia Taarifa ya habari kuhusu USA Kuivamia au kuipiga nchi fulani nilikuwa nasikia ndugu mtangazaji akisema 'MAREKANI NA WASHIRIKA WAKE'..!!!!
Kwanini ni hivyo.???