Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Hii ni app ya biblia kutoka playstore, hapo nadhani walikuwa wanamaanisha yale mambo ya "please rate this app" Hapa nadhani wanamaanisha "press back to exit"
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wasalaam, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,kwa nini waafrika wengi mtu anapokuwa hawezi kuongea kiingereza huwa tuna muona kama si lolote si chochote,Kuna Kipindi nimewahi kufanya hizi kazi za...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Pendo ni kitu adhimu ,Mungu ametuumbia Tupendane binadamu ,Ushenzi kuukimbia Tusiwe wana haramu ,Wenzetu kuwaibia Pendo kitu cha thamani , tena kitu cha furaha. Raha ya pendo kupendwa , Na yule...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kwa wale ambao mnaongea lugha zaidi ya moja , hivi mawazo au fikra huwa yana lugha? Nakumbuka nilivyokuwa secondary mwalimu wangu wa kiingereza alikuwa anaseama ili kuepuka kuongea broken "think...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hili neno limechipuka kama uyoga. Lilianza nafikiri Redio One au Clouds, likiwa na maudhui ya kimapenzi. Sasa linatumika kila mahali, sasa niambieni waswahili, kama hii mada nayo ni mubashara!
0 Reactions
5 Replies
10K Views
wiwona na vv wikimunu kumbe wikipvya hela be
3 Reactions
70 Replies
16K Views
Wakuu, huwa natamani kuifahamu lugha ya Kilatini lakini kwa kuanzia nikaona nitafute kamusi ya lugha hiyo, kwa bahati mbaya kwenye maduka makubwa kama Cathedral Bookshop Dar hakuna. Tafadhari...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
ENGLISH SWAHILI Tyiping Kuchapa Printing ? ? ? Nawasilisha
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyokieleza! Naona sasa imefikia muda sasa wa kujifunza lugha yangu ya asili, msaada please kwa anayejua wapi labda kuna sehem wanafundisha Kichagga at least kile...
1 Reactions
15 Replies
8K Views
Baada ya kusahau nywila(password) ya kadi yangu ya kiotomotela(ATM) nikaamua kukaa mgahawani (restaurant) jirani na kilipo kiotomotela na kuagiza vibanzi (chips) vikavu na sharubati (juice)...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii nimeseji umetumwa na mtandao wa Airtel wanaisambaza ila hawajui tofauti ya haya maneno IDHAA na IDARA.[emoji85] [emoji85] [emoji85] shame on you airtel.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Today French is an official language in almost 50 countries. 27 African countries speak French. It is spoken by more than 200 million people on five continents. It is also an official language of...
0 Reactions
0 Replies
517 Views
Wadau naombeni msaada wa kamusi ya kiswahili sanifu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nimetafakari neno hili "shubiri". Tunaikuta katika sentensi kama "Ametia tone la shubiri katika sukari", au "mapenzi ni asali lakini ni pia shubiri". Hapo "shubiri" linataja ladha chungu...
1 Reactions
14 Replies
10K Views
Lugha hii mara nyingi hutamka neno mara mbilimbili KM:- Pilipili pikipiki Tikitiki tete lialia chuchu kuku koko ............. endeleza tuona wapi..!!!!
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Ndugu yenu kibatari Sitaki chenu kiburi Mlinitupa duhuri Kwa hiyo yenu ghururi Na nyingi zenu shururi Niliweza zisubiri Nikawa kama kaburi Wala hamnidhukuri Mlikuwa mwafikiri Kuwa mimi ni faqiri...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya kumaliza makala kuhusu vipimo vya kihistoria vya Waswahili kwenye wikipedia nimeongea leo hii na vijana nikiwauliza kama wameshawahi kusikia maneno kama "Wanda", "Morta" au "Shibiri"...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wilaya yangu haina janga la njaa bali inauhaba wa chakula. Nini tofauti ya kauli hizi mbili?
0 Reactions
7 Replies
5K Views
1.------------Ni neno refu la kiingereza ambalo ukitype kwa kutumia keyboard ya computer utatumia mstari mmoja tu wa herufi ambao ni wa kwanza(mstari wenye herufi; P,O,Q,W,E,R,T,U,Y,I) 2.Nilikuwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
"Mdomo wa mwenye hekima upo moyoni mwake bali moyo wa mpumbavu upo mdomoni mwake"
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom