Pole sana kwa kingereza unasemaje?

Very sorry.. anyways ungesema ni katika context gani ingekuwa vizuri na ningekupa jibu sahihi zaidi? Nipe context kisha nitakupa maneno yanayofaa
 
Kwa kweli kwenye lugha ya kiingereza au tuseme kwenye utamaduni wao hakuna msemo wenye maana hiyo
 
Upo sana,Kama hujui kaa kimya tu ukijifanya mjuaji unaumbuka. Truly sorry Ndio jibu. Au I'm sorry.
 
Inategemea na ilipotumika,Kama msibani "accept my condolences, I'm sorry" lakini kama katika Maana zingine,I'm so sorry,truly sorry au I'm sorry inamaanisha kitu kimoja
 
Ahsante mkuu umeniongezea kitu kichwani
 
Back
Top Bottom