Jongwe
JF-Expert Member
- Apr 25, 2008
- 1,040
- 662
Kuna baadhi ya maneno kuelezea hali ya mazoea yatumika vibaya. Imekuwa mazoea sijui kama watu huwa wanajua wanafanya makosa. Mfano baadhi ya maneno hayo. Anakwendaga, anakujaga, anakulaga analalaga na kadhalika. Sahihi kusema huwa anakuja, huwa anakwenda, huwa wanaimba na kadhalika.