Msaada kwa mjuzi wa sarufi ya kiswahili.

Wakati tunasoma enzi hizo ilikua nimakosa kuandika nyinyi nyote,ila kwa sasa naona karibia kila mahala watu wanajimwaga na 'nyote' so please mjuzi anifafanulie vizuri hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kwa mweye kujua au kukumbuka vizuri usahii hapa ni upi,, kati ya nyinyi nyote, na nyinyi wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Neno "NYOTE", likimaanisha "WOTE" linatokana na mchanganyiko/matumizi wa maneno ya baadhi ya lugha za Tanga katika lugha ya Kiswahili. Mfano neno WOTE linaitwa hivi katika lugha hizo kwenye mibano:

NYOSHE = WOSHE (Kisambaa)
NYOSE = WOSE (Kibondei)

Jibu la swali lako ni kuwa maneno yote mawili ni sahihi kuyatumia katika Kiswahili. NYOTE = WOTE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom