Msaada kwa maneno haya..

Ipananga kulwa

JF-Expert Member
Jul 24, 2017
573
290
Habar wanajamvi..kuna maneno haya ya kiingereza huwa yananitatisa naombeni ufafanuzo ...profession, professional &professionalism haya maneno yanatumikaje ..kinomino na kitenzi au kishazi

Naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Profession ni Taaluma, Mfano, What is your profession Ipananga?

Professional: Ni mtu mwenye taaluma au tunamuita Mtaalamu.

Professionalism: Ni competence au skills ya mwanataaluma.
 
Back
Top Bottom